Featured

Featured posts

Dk. Nchimbi aahidi kukarabati barabara 16 Kilolo

IRINGA : MGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema dhamira ya Chama Cha Mapinduzi…

Soma Zaidi »

Mutharika ashinda uchaguzi Malawi

MALAWI : TUME ya uchaguzi ya Malawi imemtangaza Peter Mutharika kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais kwa kupata asilimia 56…

Soma Zaidi »

Makete kupata nyasi za mifugo kama za Brazil

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimedhamiria kuanzisha shamba la nyasi lenye ukubwa wa zaidi ya hekta 20,000 kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

CCM yaongoza kwa uzoefu-Dk.Nchimbi

MAKAMBAKO : MGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema CCM ndicho…

Soma Zaidi »

Chongolo: Nchimbi ni chaguo sahihi

NJOMBE : MGOMBEA Ubunge Jimbo la Makambako ambaye pia ni Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel…

Soma Zaidi »

Tanzania mguu sawa kuanza mradi Mchuchuma,Liganga

SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho za majadiliano na wawekezaji katika mradi wa chuma Liganga na makaa ya mawe…

Soma Zaidi »

CCM kuimarisha kilimo biashara

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema serikali yake inataka kukuza kilimo kiwe biashara. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Rais Chakwera akubali kushindwa uchaguzi

MALAWI : RAIS wa Malawi, Lazarus Chakwera, amekubali kushindwa uchaguzi mkuu na kuliambia taifa lake kwamba anafanya hivyo kwa kuheshimu…

Soma Zaidi »

Samia: Tunajiamini, sera zetu zinaaminika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya siasa 17 vilivyosimamisha wagombea wa kiti cha rais, katika Uchaguzi wa…

Soma Zaidi »

Trilioni 455/- zahitajika malengo Dira 2050

SERIKALI imesema Tanzania inahitaji kuvutia Dola za Marekani bilioni 185 (Sh trilioni 455) katika kipindi cha miaka mitano ijayo ili…

Soma Zaidi »
Back to top button