Featured

Featured posts

NEMC yaadhimisha siku ya usafi duniani hospitali Mwananyamala

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani loe Septemba 20, 2025…

Soma Zaidi »

ALPHONCE SIMBU: Avunja mwiko wa miaka 39 bila dhahabu

BAADHI ya vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali ya Tanzania tangu mwanzoni mwa wiki vimesomeka hivi; ‘Simbu aweka rekodi mpya…

Soma Zaidi »

DP kufuta kikokotoo cha wastaafu

CHAMA Cha Democratic Party (DP) kimesema serikali yake itaboresha mafao ya wastaafu. Mgombea urais kupitia chama hicho, Abdul Juma Mluya…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo kuruhusu karafuu iuzwe popote

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema serikali yake itaruhusu wakulima wa…

Soma Zaidi »

Samia aacha ahadi 8 kisiwani Unguja

MGOMBEA urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuomba kura kwa wananchi kisiwani Pemba.…

Soma Zaidi »

Wagombea zingatieni ilani, toeni ahadi zinazotekelezeka

OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano…

Soma Zaidi »

Zitto aahidi mikopo bila riba kwa wajasiriamali

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuanzisha mfuko…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: Mchagueni Samia aendeleze maajabu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakijawahi kupungukiwa viongozi wenye uwezo wa kutumikia Watanzania kwa ufanisi. Mgombea mwenza wa urais kupitia…

Soma Zaidi »

ACT-Wazalendo yapinga INEC kumuondoa Mpina

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumuondoa mgombea wake wa urais,…

Soma Zaidi »

Uchumi watawala ahadi za Samia, aanza ziara Unguja

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anaanza kampeni katika mikoa Mjini Magharibi, Kusini Unguja na…

Soma Zaidi »
Back to top button