Featured

Featured posts

Wawekezaji wazawa wahimizwa uzalendo

WATANZANIA wanaofanya uwekezaji kwenye sekta mbalimbali zikiwemo afya na elimu wamehimizwa kulipa kipaumbele suala la uzalendo ili miradi yao isiwe…

Soma Zaidi »

Chaumma kubadili mifumo ya kodi, kupunguza VAT

CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeahidi kukuza uchumi kwa kubadili mifumo ya kodi. Ilani ya uchaguzi ya chama hicho…

Soma Zaidi »

Samia atangaza neema kilimo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema serikali yake bado ina uwezo wa kutoa ruzuku kwenye pembejeo za kilimo. Mgombea wa urais…

Soma Zaidi »

Magori Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Simba

MWEKEZAJI na Rais wa Simba ya Dar es Salaam, Mohamed Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi…

Soma Zaidi »

Afreximbank yataka mapinduzi ya kiuchumi Afrika

ALGIERS, Algeria: Rais wa Benki ya Maendeleo ya Uagizaji na Uuzaji Nje ya Afrika (Afreximbank), Profesa Benedict Oramah, amewataka viongozi,…

Soma Zaidi »

Bwawa la JNHPP lawa kivutio maonesho ya IATF2025

ALGIERS, Algeria: Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji, umetajwa kuwa kielelezo cha ushirikiano…

Soma Zaidi »

CCM yaja na Tume ya Maridhiano

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wananchi wakimchagua mgombea wake wa urais, Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 itaundwa Tume…

Soma Zaidi »

UMD yaahidi kutatua kero kubwa tano siku 100 Ikulu

MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Milambo amesema wamejipanga…

Soma Zaidi »

Samia na hotuba ya matumaini uzinduzi wa kampeni CCM

AGOSTI 28, 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilianza safari ya kuwania kushika dola kwa mara nyingine kupitia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika…

Soma Zaidi »

Matumizi ya akili unde yasififishe uwezo wa waandishi wa habari

HIVI karibuni waandishi wa habari walipewa mafunzo kuhusiana na matumizi ya Akili Unde (AI) na kuhimizwa kuwa makini wakati wanapoandika…

Soma Zaidi »
Back to top button