Mitindo & Urembo

Agusta kuiwakilisha Tanzania katika onesho la mitindo Nigeria

MBUNIFU wa mavazi na mwanamitindo, Agusta Masaki, anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika onyesho kubwa la mitindo Africana Royal Elegance Collection litakalofanyika…

Soma Zaidi »

Odemba: Mikakati, fursa zaja Sauti ya Mitindo

DAR ES SALAAM: JUKWAA la Sauti ya Mitindo Tanzania limejipanga kufanya makubwa kwa mwaka 2026, ikiwemo kuchagua wanamitindo wenye vigezo…

Soma Zaidi »

Namna ya kujali ngozi kwa urembo wa asili

DAR ES SALAAM; Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinachohitaji utunzaji wa mara kwa mara, ili kubaki na afya na…

Soma Zaidi »

Amina Jigge aipeperusha Bendera ya Tanzania Miss Earth 2025

MREMBO wa Tanzania, Miss Amina Jigge, amepewa heshima ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano makubwa ya urembo duniani, Miss Earth 2025,…

Soma Zaidi »

Samia awakumbuke wanamitindo Tanzania

SERIKALI imetakiwa kulitupia jicho sekta ya mitindo nchini kwa kuipa kipaumbele na sapoti sawa na inavyofanya kwenye sekta ya michezo,…

Soma Zaidi »

Beatrice ang’ara, Top 5 Miss Grand 2025

MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Grand International 2025 yaliyomalizika nchini Thailand, Beatrice Alex Akyoo, amefanikiwa kupeperusha vyema bendera…

Soma Zaidi »

Mobetto kupamba Tanzania Fashion Festival

MWANAMITINDO na msanii maarufu wa Bongo Movie, Hamisa Mobetto, anatarajiwa kupamba usiku wa Tanzania Fashion Festival utakaofanyika Oktoba 18 katika…

Soma Zaidi »

Jubilant Andrew: Mitindo ipewe thamani inayostahili

DAR ES SALAAM: MDAU mkubwa wa mitindo nchini, Jubilant Andrew ameshauri kuwa Serikali, wadau na wawekezaji wanapaswa kuweka nguvu sekta…

Soma Zaidi »

Sauti ya Mitindo yanogesha Miss Universe 2025

DAR ES SALAAM: Katika kuhakikisha mitindo inapewa nguvu na thamani halisi inayostahili, timu ya Sauti ya Mitindo iliyopo chini ya…

Soma Zaidi »

Nguli wa mitindo Miriam Odemba azindua kitabu maendeleo ya mitindo

DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO  nguli wa kimataifa, Miriam Odemba, amezindua kitabu chake kipya kinacholenga kuhamasisha maendeleo ya sekta ya mitindo…

Soma Zaidi »
Back to top button