Jamii

Inec yazidi kunoa wanahabari Uchaguzi Mkuu

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imejipanga kushirikiana na vyombo vya habari kuhakikisha habari na maudhui yake yanalenga…

Soma Zaidi »

TCRA yahimiza umakini, weledi habari za uchaguzi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imehimiza umakini na weledi kwa waandishi na vyombo vya habari vya utangazaji katika Uchaguzi Mkuu…

Soma Zaidi »

Wanahabari waagizwa kulinda taarifa binafsi

TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeagiza vyombo vya habari vilinde taarifa binafsi za watu. Mkuu wa Mawasiliano na…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 3 ujambazi wauawa kwa bunduki

KIGOMA; WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakituhumiwa kutaka kufanya tukio la ujambazi kwenye…

Soma Zaidi »

GGML yajipanga afya ya uzazi shuleni

GEITA; KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imeanza utekelezaji wa mpango wezeshi kufanikisha mazingira rafiki ya afya ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia aweka baraka Kongani ya viwanda Kwala

PWANI; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya…

Soma Zaidi »

Ubongo yatangaza msimu mpya wa elimu kwa watoto

DAR-ES-SALAAM : SHIRIKA la Ubongo limetangaza rasmi uzinduzi wa msimu wa tano wa kipindi maarufu cha watoto, Akili and Me,…

Soma Zaidi »

Khoja Shia Ithnasheri waandaa upimaji afya bure

DAR ES SALAAM; Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri Mkoa wa Dar es Salaam, imeandaa kambi ya bure ya afya na…

Soma Zaidi »

Tubadili mtindo wa maisha kuzuia vifo

DODOMA : SERIKALI imesema asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika kama Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha.

Soma Zaidi »

NMB yatoa mil 100 maandalizi nanenane

BENKI ya NMB imeikabidhi Wizara ya Kilimo Sh milioni 100 kusaidia maandalizi ya Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu…

Soma Zaidi »
Back to top button