Jamii

Mwanamke mbaroni tuhuma kuchinja watoto watatu wa mke mwenzake

WAKAZI wawili wa Mkoa wa Ruvuma wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhumu za mauaji, akiwemo Wende Luchagula (30) anayetuhumiwa…

Soma Zaidi »

Miss Universe Tanzania 2025 wanogesha mambo

VIPINDI vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25, 2025  katika king’amuzi cha Startimes…

Soma Zaidi »

Daraja la Masagi kufungua fursa Iramba

SINGIDA : KUKAMILIKA kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi–Masagi kunatarajiwa kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme…

Soma Zaidi »

Udhibiti kelele, mitetemo uwe endelevu, usiishie kwenye baa

UAMUZI wa Halmashauri Wilaya ya Kinondoni wa kufunga baa na klabu za usiku tano kwa kosa la kupiga muziki kupita…

Soma Zaidi »

Chalamila anusa hujuma mwendokasi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema huduma za Kampuni ya Usafi ri wa Mabasi Yaendayo Haraka…

Soma Zaidi »

‘Mzee Mkapa ni mfano wa kuigwa’

MTWARA; Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa Hayati Mzee Benjamin…

Soma Zaidi »

GGML yafanya jambo michezo sekondari Geita

GEITA; KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imejitosa kudhamini programu ya mashindano ya michezo kwa shule za sekondari,…

Soma Zaidi »

Serikali imejizatiti mazingira bora watumishi

TANGA; Serikali imesema itaendelea kuboresha maslahi ya watumish,  ikiwemo makazi bora kwa lengo la kuongeza tija katika utoaji huduma kwa…

Soma Zaidi »

Bandari kavu Kwala, mizigo SGR vyanoga

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Bandari kavu ya Kwala na safari za ubebaji wa mizigo kwa kutumia treni ya…

Soma Zaidi »

TBC, TAMISEMI waitisha shindano la insha shule za sekondari

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC), Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Elimu wameandaa shindano la uandishi…

Soma Zaidi »
Back to top button