Jamii

Wananchi wanufaika msaada wa kisheria Nanenane

DODOMA; Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Kitengo cha Msaada wa Kisheria  (Mama Samia Legal Aid Campaign)  imeendelea kutoa huduma…

Soma Zaidi »

Maelezo yaja na mwongozo kuepuka chuki, kashfa

IDARA ya Habari – MAELEZO imeandaa mwongozo kwa vyombo vya habari uonavitaka viepuke maudhui ya chuki, ubaguzi, kashfa, matusi na…

Soma Zaidi »

Inec yazidi kunoa wanahabari Uchaguzi Mkuu

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imejipanga kushirikiana na vyombo vya habari kuhakikisha habari na maudhui yake yanalenga…

Soma Zaidi »

TCRA yahimiza umakini, weledi habari za uchaguzi

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imehimiza umakini na weledi kwa waandishi na vyombo vya habari vya utangazaji katika Uchaguzi Mkuu…

Soma Zaidi »

Wanahabari waagizwa kulinda taarifa binafsi

TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeagiza vyombo vya habari vilinde taarifa binafsi za watu. Mkuu wa Mawasiliano na…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 3 ujambazi wauawa kwa bunduki

KIGOMA; WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakituhumiwa kutaka kufanya tukio la ujambazi kwenye…

Soma Zaidi »

GGML yajipanga afya ya uzazi shuleni

GEITA; KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imeanza utekelezaji wa mpango wezeshi kufanikisha mazingira rafiki ya afya ya…

Soma Zaidi »

Rais Samia aweka baraka Kongani ya viwanda Kwala

PWANI; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Kongani ya Viwanda ya…

Soma Zaidi »

Ubongo yatangaza msimu mpya wa elimu kwa watoto

DAR-ES-SALAAM : SHIRIKA la Ubongo limetangaza rasmi uzinduzi wa msimu wa tano wa kipindi maarufu cha watoto, Akili and Me,…

Soma Zaidi »

Khoja Shia Ithnasheri waandaa upimaji afya bure

DAR ES SALAAM; Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri Mkoa wa Dar es Salaam, imeandaa kambi ya bure ya afya na…

Soma Zaidi »
Back to top button