Jamii

Kinondoni, Sumbawanga, Kilombero zaongoza ulaghai mitandaoni

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuwa wilaya za Sumbawanga Vijijini, Kilombero na Kinondoni zinaongoza kwa majaribio ya ulaghai kwa…

Soma Zaidi »

Baridi yaathiri afya, uchumi Njombe

HALI ya baridi imeathiri afya na uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Njombe. Baridi katika mkoa huo inaongeza magonjwa yanayohusiana…

Soma Zaidi »

Pengo: Wazazi msizuie ndoto za watoto

ASKOFU Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ametoa mwito kwa wazazi wasiwe…

Soma Zaidi »

Rais Samia ateta na Miss World

ZANZIBAR; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa…

Soma Zaidi »

Mtoto adaiwa kuua baba, kumtumbukiza chooni

PWANI; JESHI la Polisi, Mkoa wa Pwani linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Muhenza, Wilaya ya Kibaha, Rajabu Musa (23) kwa…

Soma Zaidi »

Epukeni ‘WiFi’ ya bure kulinda taarifa

JAMII imeshauriwa kujiepusha na matumizi ya mitandao ya intaneti ya bure ili kulinda taarifa zao binafsi dhidi ya wizi wa…

Soma Zaidi »

Oryx Energies Tanzania yaja kivingine usalama bodaboda, Bajaji

DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Oryx Energies Tanzania Limited, imezindua  rasmi kampeni ya kitaifa ya uhamasishaji wa usalama barabarani ijulikanayo…

Soma Zaidi »

Mtendaji wa Kijiji ajiua kwa sumu ya panya

MTENDAJI wa Kijiji cha Ulowa Namba Moja, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Juliana Mkumbo (30)…

Soma Zaidi »

Bodi ya Ithibati yaanza kung’ata

DAR ES SALAAM; Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imewapiga marufuku watangazaji wanne kujihusuisha na masuala ya kihabari…

Soma Zaidi »

Wanafunzi kidato cha 4 wafa ajali ya bodaboda, lori

MOROGORO; WANAFUNZI wawili wa kidato cha nne wa Shule ya Morogoro Sekondari, Lusajo Mwang’onda (18) na Ghalib Omary (18) wakazi…

Soma Zaidi »
Back to top button