Africa

Wafanyakazi wa anga watishia mgomo

KENYA : CHAMA cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini Kenya (KAWU) kimetoa notisi ya siku saba cha kutishia mgomo…

Soma Zaidi »

Burkina Faso,Mali, Niger watangaza kujiondoa ICC

BAMAKO, Mali : NCHI za Burkina Faso, Mali na Niger, ambazo zinaongozwa na tawala za kijeshi, zimetangaza kujiondoa katika Mahakama…

Soma Zaidi »

Mutharika aongoza asilimia 66 ya kura

MALAWI : RAIS wa zamani wa Malawi, Peter Mutharika, anaendelea kuongoza dhidi ya mpinzani wake, rais aliyeko madarakani Lazarus Chakwera,…

Soma Zaidi »

MCP yadai kuibiwa kura uchaguzi Malawi

MALAWI : CHAMA Tawala cha Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kinachounga mkono Rais Lazarus Chakwera, kimesema kina ushahidi wa wizi…

Soma Zaidi »

Guinra yapiga kura ya maoni kubadilisha katiba

GUINEA : RAIA wa Guinea wamepiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa kijeshi, Jenerali…

Soma Zaidi »

Mutharika aongoza matokeo ya awali urais

MALAWI: RAIS wa zamani wa Malawi, Peter Mutharika, anaongoza katika uchaguzi uliofanyika Septemba 16, 2025, kwa mujibu wa matokeo ya…

Soma Zaidi »

Vyama viwili vyajitangazia ushindi urais

MALAWI : VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Malawi kufanyika leo

LILONGWE , MALAWI : WANANCHI wa Malawi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa ngazi ya urais, ubunge na udiwani katika…

Soma Zaidi »

Machar afunguliwa mashtaka Sudan Kusini

JUBA : MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashtaka mazito ya mauaji, uhaini na uhalifu…

Soma Zaidi »

Kesi ya Kabila kuamuliwa leo Kinshasa

KINSHASA : MAHAKAMA Kuu ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) inatarajiwa leo kutoa uamuzi wa kwanza kuhusu mashtaka…

Soma Zaidi »
Back to top button