Africa

Mali, Burkina Faso wasusia kikao cha ulinzi

NIGERIA : BURKINA Faso na Mali zimegoma kupeleka  wawakilishi wake katika mkutano wa kijeshi wa bara la Afrika unaoendelea jijini…

Soma Zaidi »

Botswana yakabiliwa na uhaba wa dawa

BOTSWANA : SERIKALI ya Botswana imetangaza hali ya dharura ya kiafya baada ya kuporomoka kwa mnyororo wa usambazaji wa bidhaa…

Soma Zaidi »

Kabila akabiliwa na hukumu ya kifo

DR CONGO : WAENDESHA Mashtaka wa Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameiomba Mahakama ya Kijeshi kutoa hukumu…

Soma Zaidi »

Majaliwa asema teknolojia mpya si tishio, bali fursa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amevitaka vyama vya wafanyakazi Afrika kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia duniani. Aidha, aliainisha…

Soma Zaidi »

Kenya: Miili yafukuliwa Kilifi

KENYA : TAKRIBANI miili mitano imefukuliwa kutoka makaburi ya kina kifupi katika pwani ya kaskazini mwa Kenya. Maeneo hayo yanahusishwa…

Soma Zaidi »

Malori 16 ya misaada yateketea Sudan

DARFUR: UMOJA wa Mataifa umesema shambulizi la droni limesababisha kuungua kwa malori 16 ya misaada ya chakula katika eneo la…

Soma Zaidi »

Tshisekedi akataa rasimu ya amani

KINSHASA : PENDEKEZO la makubaliano ya amani kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa…

Soma Zaidi »

Mauaji mapya ya ADF yatikisa DRC

DR CONGO: UMOJA wa Mataifa umesema takriban raia 52 wameuawa na waasi wa ADF katika mashambulizi yaliyotokea hivi karibuni Kaskazini…

Soma Zaidi »

Boti ya abiria yazama ,10 wako salama

NIGERIA : ZAIDI ya watu 40 hawajulikani waliko baada ya boti ya abiria kuzama Jumapili, Agosti 17, 2025, nchini Nigeria.

Soma Zaidi »

Rasimu ya amani yawasilishwa DRC

DOHA : RASIMU ya makubaliano ya amani kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button