Africa

Mawaziri wawili wauawa ajali ya helikopta

ACCRA , GHANA : WAZIRI wa Ulinzi wa Ghana, Edward Mane Boamah, na Waziri wa Mazingira, Sayansi na Teknolojia, Ibrahim…

Soma Zaidi »

Rwanda yapokea wahamiaji 250

KIGALI : SERIKALI ya Rwanda imeripotiwa kusaini makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji 250 waliotimuliwa nchini humo, katika kile kinachotajwa…

Soma Zaidi »

Msumbiji yakumbwa ongezeko la wakimbizi

MSUMBIJI : SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji (IOM), limeeleza kuwa mashambulizi ya waasi yaliyofanyika katika Mkoa wa Cabo…

Soma Zaidi »

Wanasayansi wazindua dawa kulinda vifaru

AFRIKA KUSINI : WANASAYANSI nchini Afrika Kusini wamezindua mradi wa kisayansi wa kutumia dawa zenye mionzi kudunga pembe za kifaru…

Soma Zaidi »

Kiongozi wa upinzani akwama Yaoundé

YAOUNDE, CAMEROON : MGOMBEA Urais na Waziri wa zamani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, amedai kuzuiwa kusafiri mapema leo wakati…

Soma Zaidi »

UN yataka uchunguzi machafuko Angola

LUANDA, ANGOLA : UMOJA wa Mataifa umetaka kufanyika uchunguzi wa haraka, wa kina na huru kufuatia machafuko ya siku mbili…

Soma Zaidi »

Rwanda, DRC waanza kutekeleza makubaliano ya amani

WASHINGTON, MAREKANI : RWANDA na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimekutana kwa mara ya kwanza katika kikao cha Kamati…

Soma Zaidi »

M23 Yatuhumiwa Kuua 169 DRC

KINSHASA, DRC : UMOJA wa Mataifa umesema kuwa watu 169 wameuawa mwanzoni mwa mwezi huu kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na waasi…

Soma Zaidi »

Bei ya mafuta yazua ghasia Angola

LUANDA, ANGOLA : TAKRIBAN watu 22, wakiwemo raia na afisa wa polisi, wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 200 wakijeruhiwa…

Soma Zaidi »

Sudan Kusini yapoteza askari 5 mpakani

JUBA : TAKRIBAN askari watano wa Sudan Kusini wameuawa katika mapigano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF)…

Soma Zaidi »
Back to top button