Africa

Sudan Kusini yapoteza askari 5 mpakani

JUBA : TAKRIBAN askari watano wa Sudan Kusini wameuawa katika mapigano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF)…

Soma Zaidi »

Ouattara kutafuta muhula wa nne Ivory Coast

ABIDJAN, IVORY COAST : RAIS wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena urais kwa muhula wa…

Soma Zaidi »

RSF yaunda serikali sambamba Sudan

KHARTOUM: KUNDI la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) na washirika wake nchini Sudan wameunda serikali sambamba ya Muungano wa…

Soma Zaidi »

Waasi wa ADF wauwa zaidi ya watu 40

KINSHASA: ZAIDI ya watu 40 wameuawa kufuatia mashambulizi ya waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya…

Soma Zaidi »

Kesi ya Kabila Yaanza Kinshasa

KINSHASA : MAHAKAMA ya kijeshi mjini Kinshasa imeanza kusikiliza kesi inayomkabili rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…

Soma Zaidi »

Kenya yashindwa kufadhili elimu

NAIROBI : SERIKALI ya Kenya imetangaza kushindwa kumudu gharama za kufadhili elimu ya bure kwa shule za msingi na sekondari,…

Soma Zaidi »

“Nasema Siondoki” William Ruto

KENYA : RAIS wa Kenya, William Ruto, amepinga vikali wito unaoendelea wa kumtaka ajiuzulu, akisema madai hayo hayana msingi.

Soma Zaidi »

Rais wa zamani wa Nigeria Buhari afariki Dunia

LAGOS, Nigeria – Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amefariki dunia katika kliniki moja jijini London akiwa na umri…

Soma Zaidi »

ICC yaonya mateso makali Sudan

UHOLANZI:MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa tahadhari juu ya kuendelea kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu katika eneo…

Soma Zaidi »

Mwigizaji Nollywood atamani ndoa nyingine

NIGERIA: MUIGIZAJI mkongwe wa Nollywood, Bukky Wright, ameeleza nia yake ya kuolewa tena licha ya umri wake wa miaka 58.…

Soma Zaidi »
Back to top button