Asia

China yafungua daraja kubwa duniani

BEIJING: CHINA imefungua rasmi daraja la Grand Canyon la Huajiang lenye urefu wa mita 625 juu ya bonde katika mkoa…

Soma Zaidi »

China yajipanga kudhibiti uchafu wa mazingira

BEIJING : CHINA, taifa linaloongoza kwa uzalishaji wa gesi chafu duniani, limetangaza kwa mara ya kwanza malengo ya kupunguza hewa…

Soma Zaidi »

NEMC yashiriki kongamano la binadamu na hifadhi hai

CHINA: Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Kongamano la Dunia la Programu ya UNESCO ya…

Soma Zaidi »

Mapafu ya nguruwe kupandikizwa binadamu

GUANGZHOU:MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu.

Soma Zaidi »

Mazoezi ya kijeshi yaiva Seoul

SEOUL : KOREA KUSINI kwa kushirikiana na Marekani wameanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yanayolenga kukabiliana na vitisho vya…

Soma Zaidi »

Watu 300 wapoteza maisha Pakistan

ISLAMABAD : IDADI ya vifo imefikia karibu watu 300 kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha kuporomoka kwa majengo katika Wilaya ya Buner,…

Soma Zaidi »

Daktari jela miaka 15 kumdhalilisha mgonjwa

SRI LANKA : MAHAKAMA Kuu ya Anuradhapura, Sri Lanka, imemkuta na hatia daktari mwenye umri wa miaka 70 kwa kosa…

Soma Zaidi »

Hiroshima yaadhimisha miaka 80

JAPAN : MJI wa kihistoria wa Hiroshima nchini Japan umeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia kwa bomu la…

Soma Zaidi »

Yoon Suk Yeol akwepa kuhojiwa gerezani

KOREA KUSINI : RAIS wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, anadaiwa kutumia mbinu isiyo ya kawaida kukwepa kuhojiwa…

Soma Zaidi »

Kanuni za usalama zavunjwa Air India

INDIA : MAMLAKA ya Udhibiti wa Safari za Anga nchini India imebaini ukiukaji wa kanuni za usalama 51 katika shirika…

Soma Zaidi »
Back to top button