Kimataifa

DRC, Rwanda zakubaliana kurejesha wakimbizi

DR CONGO : SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limesema DRC na Rwanda zimekubaliana kuwarejesha makwao wakimbizi walioathiriwa…

Soma Zaidi »

Mazungumzo ya nyuklia Iran yapwaya

GENEVA : MAZUNGUMZO ya nyuklia kati ya Iran na mataifa ya Ulaya,Ujerumani, Uingereza na Ufaransa yamehitimishwa mjini Geneva bila makubaliano.

Soma Zaidi »

Ulaya yajipanga kuongeza vikwazo

BERLIN : KANSELA wa Ujerumani, Friedrich Merz, amemtuhumu Rais Vladmir Putin kwa kuchelewesha makusudi mazungumzo ya amani na Ukraine.

Soma Zaidi »

Mapafu ya nguruwe kupandikizwa binadamu

GUANGZHOU:MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu.

Soma Zaidi »

Mali, Burkina Faso wasusia kikao cha ulinzi

NIGERIA : BURKINA Faso na Mali zimegoma kupeleka  wawakilishi wake katika mkutano wa kijeshi wa bara la Afrika unaoendelea jijini…

Soma Zaidi »

Mlanguzi wa dawa za kulevya akamatwa

MEXICO: ALIYEKUWA kiongozi wa magendo nchini Mexico, Ismael “El Mayo” Zambada, amekiri kushiriki katika vitendo vya ulanguzi wa dawa za…

Soma Zaidi »

Botswana yakabiliwa na uhaba wa dawa

BOTSWANA : SERIKALI ya Botswana imetangaza hali ya dharura ya kiafya baada ya kuporomoka kwa mnyororo wa usambazaji wa bidhaa…

Soma Zaidi »

Kabila akabiliwa na hukumu ya kifo

DR CONGO : WAENDESHA Mashtaka wa Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameiomba Mahakama ya Kijeshi kutoa hukumu…

Soma Zaidi »

Majaliwa asema teknolojia mpya si tishio, bali fursa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amevitaka vyama vya wafanyakazi Afrika kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia duniani. Aidha, aliainisha…

Soma Zaidi »

WHO: Joto kazini ni tishio la afya

MAREKANI : SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) wamesema mamilioni ya wafanyakazi dunia…

Soma Zaidi »
Back to top button