Kimataifa

Putin, Zelensky wakubaliana kukutana

WASHINGTON DC: MARAIS wa Urusi na Ukraine wamekubaliana kufanya mazungumzo ya amani, hatua ambayo ni ya kwanza tangu Urusi iivamie…

Soma Zaidi »

Boti ya abiria yazama ,10 wako salama

NIGERIA : ZAIDI ya watu 40 hawajulikani waliko baada ya boti ya abiria kuzama Jumapili, Agosti 17, 2025, nchini Nigeria.

Soma Zaidi »

Iran kuendeleza mazungumzo IAEA

TEHRAN : SERIKALI ya Iran imesema itaendelea na mazungumzo na Shirika la Kudhibiti Nyuklia la Umoja wa Mataifa (IAEA), licha…

Soma Zaidi »

Mazoezi ya kijeshi yaiva Seoul

SEOUL : KOREA KUSINI kwa kushirikiana na Marekani wameanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yanayolenga kukabiliana na vitisho vya…

Soma Zaidi »

Rasimu ya amani yawasilishwa DRC

DOHA : RASIMU ya makubaliano ya amani kati ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na waasi wa…

Soma Zaidi »

Watu 300 wapoteza maisha Pakistan

ISLAMABAD : IDADI ya vifo imefikia karibu watu 300 kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha kuporomoka kwa majengo katika Wilaya ya Buner,…

Soma Zaidi »

Syria yataka amani

DAMASCUS : RAIS wa Syria, Ahmed al-Sharaa, amesema juhudi za kuunganisha taifa hilo baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe…

Soma Zaidi »

Ursula,Zelensky kuungana Marekani

WASHINGTON DC : VIONGOZI wa mataifa ya Ulaya wanatarajiwa kuungana na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine leo Jumatatu nchini Marekani…

Soma Zaidi »

Tanzania yapongezwa juhudi za amani SADC

TANZANIA imepongezwa kwa utendaji mzuri wa kushughulikia changamoto za kiusalama katika Kanda ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini…

Soma Zaidi »

Watu 40 wapoteza maisha Darfur

DARFUR, SUDAN : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa takriban watu 40 wamefariki dunia katika eneo la…

Soma Zaidi »
Back to top button