Kimataifa

Vyama viwili vyajitangazia ushindi urais

MALAWI : VYAMA vya siasa vinavyowaunga mkono wagombea wakuu wa urais nchini Malawi vimejitangazia ushindi kabla ya Tume ya Uchaguzi…

Soma Zaidi »

Maelfu ya wafanyakazi waandamana Paris

PARIS: MAELFU ya wafanyakazi mjini Paris wamegoma kufanya kazi na kuandamana jijini Paris wakipinga mpango wa serikali wa kupunguza bajeti.

Soma Zaidi »

Mashambulizi Gaza yatikisa huduma za afya

GENEVA : MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kuwa mashambulizi ya ardhini yanayoendelea kufanywa…

Soma Zaidi »

Nchi za Kiarabu,Kiislamu kujitenga na Israel

DOHA, QATAR : VIONGOZI wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wamesema wanapitia upya mahusiano yao na Israel kufuatia shambulizi kubwa…

Soma Zaidi »

Putin: Msitumie Mali za Urusi

MOSCOW, URUSI : SERIKALI ya Urusi imeonya kuwa italishambulia taifa lolote la Ulaya litakalothubutu kuchukua mali zake zilizozuiwa, kufuatia mapendekezo…

Soma Zaidi »

Tabaka la Ozoni laanza kuimarika

NEW YORK , MAREKANI : RIPOTI mpya ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO), chini ya Umoja wa Mataifa,…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Malawi kufanyika leo

LILONGWE , MALAWI : WANANCHI wa Malawi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa ngazi ya urais, ubunge na udiwani katika…

Soma Zaidi »

Machar afunguliwa mashtaka Sudan Kusini

JUBA : MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashtaka mazito ya mauaji, uhaini na uhalifu…

Soma Zaidi »

Kesi ya Kabila kuamuliwa leo Kinshasa

KINSHASA : MAHAKAMA Kuu ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) inatarajiwa leo kutoa uamuzi wa kwanza kuhusu mashtaka…

Soma Zaidi »

Waafrika sasa kuingia Burkina Faso bure

OUAGADOUGOU, Burkinafaso : SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kufuta ada za viza kwa raia wote wa nchi za Afrika, hatua…

Soma Zaidi »
Back to top button