Kimataifa

Ruto: Masoko ya China ni muhimu

NAIROBI, KENYA: RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto, amesema kuwa uamuzi wa Kenya katika sera za mambo ya nje unaongozwa…

Soma Zaidi »

Sudan yaangusha ndege ya Emarati

KHARTOUM,SUDAN : JESHI la anga la Sudan limeharibu ndege ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) iliyokuwa ikibeba wapiganaji mamluki…

Soma Zaidi »

Mawaziri wawili wauawa ajali ya helikopta

ACCRA , GHANA : WAZIRI wa Ulinzi wa Ghana, Edward Mane Boamah, na Waziri wa Mazingira, Sayansi na Teknolojia, Ibrahim…

Soma Zaidi »

Mshikamano waimarisha mtangamano SADC

MADAGASCA: Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC),…

Soma Zaidi »

Hiroshima yaadhimisha miaka 80

JAPAN : MJI wa kihistoria wa Hiroshima nchini Japan umeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu Marekani ilipoushambulia kwa bomu la…

Soma Zaidi »

Rwanda yapokea wahamiaji 250

KIGALI : SERIKALI ya Rwanda imeripotiwa kusaini makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji 250 waliotimuliwa nchini humo, katika kile kinachotajwa…

Soma Zaidi »

Hatma ya plastiki yazua mjadala mkali

GENEVA : MKUTANO wa sita wa wapatanishi wa kimataifa kuhusu mkataba wa marufuku ya plastiki umeanza nchini Uswisi, huku mataifa…

Soma Zaidi »

Msumbiji yakumbwa ongezeko la wakimbizi

MSUMBIJI : SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji (IOM), limeeleza kuwa mashambulizi ya waasi yaliyofanyika katika Mkoa wa Cabo…

Soma Zaidi »

Mkutano wa 45 SADC waanza Madagascar

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza leo Agosti 04,…

Soma Zaidi »

Mwanasheria wa Hakimi acharuka kesi ya ubakaji

PARIS: MWANASHERIA wa Achraf Hakimi, Fanny Colin, anasema kuna “ushahidi mkubwa” ambao unamuondolea tuhuma za ubakaji, huku waendesha mashtaka Ufaransa…

Soma Zaidi »
Back to top button