Kimataifa

Ethiopia yakamata watu 82 wa IS

ADDIS, ETHIOPIA : MAMLAKA za Ethiopia zimewakamata watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu (IS), ambao…

Soma Zaidi »

Watu 248 wauawa Syria

DAMASCUS : TAKRIBAN watu 248 wameuawa katika mfululizo wa mapigano yaliyodumu kwa siku kadhaa huko Sweida, Kusini mwa Syria, hali…

Soma Zaidi »

EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi

UBELGIJI : UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya…

Soma Zaidi »

Sekta ya afya yatikiswa na pengo la misaada

LONDON : UTAFITI mpya uliotolewa na jarida la Lancet umebainisha kuwa usitishaji mkubwa wa misaada ya kimataifa utapunguza kwa kiasi…

Soma Zaidi »

Waziri ajiuzulu kuwadharau wananchi

CUBA : WAZIRI wa Kazi wa Cuba, Marta Elena Feitó Cabrera, amejiuzulu kufuatia ukosoaji mkali alioupata baada ya kudai kuwa…

Soma Zaidi »

Rais wa zamani wa Nigeria Buhari afariki Dunia

LAGOS, Nigeria – Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, amefariki dunia katika kliniki moja jijini London akiwa na umri…

Soma Zaidi »

ICC yaonya mateso makali Sudan

UHOLANZI:MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa tahadhari juu ya kuendelea kwa vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu katika eneo…

Soma Zaidi »

Ulaya Kuijenga Upya Ukraine

ROME: VIONGOZI wa mataifa ya Ulaya wamezindua mkutano wa kila mwaka wa kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine…

Soma Zaidi »

Mahakama Yaruhusu Uteuzi Mpya wa IEBC

NAIROBI: MAHAKAMA Kuu jijini Nairobi imeruhusu kuapishwa kwa Mwenyekiti mpya na Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC),…

Soma Zaidi »

Marekani Yaendeleza Diplomasia Asia

MALAYSIA:WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amehitimisha siku yake ya pili na ya mwisho katika mkutano wa…

Soma Zaidi »
Back to top button