Kimataifa

Museveni aidhinishwa kugombea urais

KAMPALA,Uganda : TUME ya Uchaguzi ya Uganda imemuidhinisha Rais Yoweri Museveni kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao. Museveni, mwenye umri…

Soma Zaidi »

DRC : Spika wa bunge ajiuzulu

DR CONGO : SPIKA wa Baraza la Chini la Bunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Vital Kamerhe, amejiuzulu…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi wa anga watishia mgomo

KENYA : CHAMA cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga nchini Kenya (KAWU) kimetoa notisi ya siku saba cha kutishia mgomo…

Soma Zaidi »

Maelfu waandamana kuunga mkono Palestina

ITALIA : MAELFU ya watu nchini Italia wamejitokeza mitaani kushinikiza mshikamano na raia wa Palestina walioko Gaza. Waandamanaji hao walikusanyika…

Soma Zaidi »

Burkina Faso,Mali, Niger watangaza kujiondoa ICC

BAMAKO, Mali : NCHI za Burkina Faso, Mali na Niger, ambazo zinaongozwa na tawala za kijeshi, zimetangaza kujiondoa katika Mahakama…

Soma Zaidi »

Mutharika aongoza asilimia 66 ya kura

MALAWI : RAIS wa zamani wa Malawi, Peter Mutharika, anaendelea kuongoza dhidi ya mpinzani wake, rais aliyeko madarakani Lazarus Chakwera,…

Soma Zaidi »

Danon: Hamas lazima iondolewe Gaza

ISRAEL : MWAKILISHI wa kudumu wa Israel katika Umoja wa Mataifa, Danny Danon, amesema kuwa suluhu ya mataifa mawili si…

Soma Zaidi »

MCP yadai kuibiwa kura uchaguzi Malawi

MALAWI : CHAMA Tawala cha Malawi, Malawi Congress Party (MCP), kinachounga mkono Rais Lazarus Chakwera, kimesema kina ushahidi wa wizi…

Soma Zaidi »

Vita na Hezbollah vyafungua fursa ya amani

JERUSALEM, Israel : WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema vita kati ya Israel na kundi la Hezbollah vimetengeneza uwezekano…

Soma Zaidi »

Tunaitambua Palestina – Keir Starmer

LONDON: UINGEREZA , Australia na Canada zimetangaza kulitambua rasmi taifa la Palestina, hatua inayotajwa kuwa mabadiliko makubwa ya sera za…

Soma Zaidi »
Back to top button