Maoni

Waamuzi kutoka nje waendelee kuchezesha Yanga, Simba

HISTORIA iliandikwa Juni 25, mwaka huu katika soka la Tanzania kwa waamuzi kutoka Misri kuchezesha mechi ya watani wa jadi,…

Soma Zaidi »

Watanzania waepuke mambo yasiyo ya kiungwana wakati wa kampeni

LEO Agosti 28, 2025 ndiyo siku rasmi ambayo kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba…

Soma Zaidi »

Wagombea, vyama vizingatie kampeni za kistaarabu kulinda amani ya nchi

LEO (Agosti 28, 2025) ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

Soma Zaidi »

Uzoefu kuivusha salama Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025

UZOEFU mkubwa ambao Tanzania imeupata katika kuandaa na kufanikisha chaguzi sita kwa amani na utulivu umetajwa kuwa ni kete muhimu…

Soma Zaidi »

Dk.Migiro: Mwanamke Anayeandika Historia Kwenye Medani za Siasa na Diplomasia

KATIKA medani ya siasa, diplomasia na utawala wa Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania, jina la Dk Asha-Rose…

Soma Zaidi »

Mgombea anapoahidi kuwashushia wapigakura senene!

SIKU zinahesabika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Kampeni zimeshaanza kama inavyooneshwa katika…

Soma Zaidi »

Uzalendo utawale wakati wa kuripoti Uchaguzi Mkuu

AMANI, utulivu, umoja na mshikamano ni vitu muhimu ambavyo nchi ya Tanzania imebarikiwa na vinaliliwa na kutafutwa na mataifa mengine.

Soma Zaidi »

Wananchi tushiriki kampeni kubaini wagombea bora

KAMPENI za wagombea nafasi ya urais, ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinaendelea nchini.

Soma Zaidi »

Akili unde isichafue pambazuko la wanawake kuchaguliwa 2025

MWAKA 2025 kumepambazuka kwa wanawake kuchanua katika siasa na uongozi na ndio maana ‘Kura Yako ni Haki Yako Jitokee Kupiga…

Soma Zaidi »

Tusikilize sera kwenye kampeni, wavuruga amani tuwakatae

WAKATI siku za kampeni zikiendelea nchini wagombea na vyama vyao vya siasa wameshaanza kupanda majukwaani kunadi sera za vyama vyao…

Soma Zaidi »
Back to top button