Tahariri

Epukeni kujiingiza kwenye makosa ya kimtandao

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa juu ya kumkamata mtuhumiwa mmoja kwa tuhuma za makosa…

Soma Zaidi »

Wadau waongeze kasi elimu ya mpigakura

LEO imetimia siku 30 tangu kampeni za vyama vya siasa zizinduliwe nchini Tanzania. Kampeni hizi zimekuwa fursa muhimu kwa vyama…

Soma Zaidi »

EAC iwalinde wanawake biashara za kuvuka mpaka

BAADHI ya wanawake wanategemea biashara za kuvuka mpaka kupata riziki za kuendesha familia zao ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Soma Zaidi »

Mkakati wa kitaifa unahitajika kukabili vitendo vya kujiua

TATIZO la watu kujiua limeendelea kuitesa jamii na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imethibitisha hali hiyo wakati wa maadhimisho ya…

Soma Zaidi »

COP30 iwe muarobaini wa ukame, mafuriko EAC

NOVEMBA mwaka huu dunia itakutana nchini Brazil kwenye Mkutano wa 30 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »

Waamuzi kutoka nje waendelee kuchezesha Yanga, Simba

HISTORIA iliandikwa Juni 25, mwaka huu katika soka la Tanzania kwa waamuzi kutoka Misri kuchezesha mechi ya watani wa jadi,…

Soma Zaidi »

Watanzania waepuke mambo yasiyo ya kiungwana wakati wa kampeni

LEO Agosti 28, 2025 ndiyo siku rasmi ambayo kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba…

Soma Zaidi »

Wagombea, vyama vizingatie kampeni za kistaarabu kulinda amani ya nchi

LEO (Agosti 28, 2025) ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

Soma Zaidi »

Uzalendo utawale wakati wa kuripoti Uchaguzi Mkuu

AMANI, utulivu, umoja na mshikamano ni vitu muhimu ambavyo nchi ya Tanzania imebarikiwa na vinaliliwa na kutafutwa na mataifa mengine.

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu 2025 kielelezo cha demokrasia EAC

HIKI ni kipindi ambacho baadhi ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zitafanya Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kupata…

Soma Zaidi »
Back to top button