Tahariri

Heko sekretarieti EAC kwa mipango thabiti

WIKI iliyopita kulikuwa na vikao takribani vitatu jijini Arusha vilivyohusu masuala ya maendeleo kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Soma Zaidi »

Ushirikiano Tanzania, Japan mfano ukuaji uwekezaji kimataifa

USHIRIKIANO baina ya Tanzania na Japan unaelezwa kuzidi kukua na kuimarika hasa katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia. Kwa…

Soma Zaidi »

Kila la heri Simba, Watanzania wako nyuma yenu

SIMBA ina kila sababu ya kushinda Kombe la Shirikisho Afrika kwenye ardhi yake ya nyumbani. Baada ya zaidi ya miaka…

Soma Zaidi »

Tahadhari zichukuliwe kukabiliana na kipupwe

JANA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa hali ya hewa kwa kipindi cha kipupwe kinachotarajiwa kuanza…

Soma Zaidi »

Utashi kisiasa utachagiza ukuaji wa uchumi Tanzania, Namibia

TANZANIA juzi imempokea Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyefika nchini kwa ziara ya kikazi kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe…

Soma Zaidi »

Kongole uongozi wa Rais Samia kufungua milango haki jumuishi

KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, sekta…

Soma Zaidi »

Mikakati kudhibiti udanganyifu huduma za bima izae matunda

SERIKALI imeeleza mkakati wa kukabili udangayifu katika huduma za bima miongoni mwake ikiwa ni mpango wa kuanzisha mahakama au kitengo…

Soma Zaidi »

Mikakati kuboresha mazingira sekta ya utalii iungwe mkono

MKUTANO wa Tatu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na sekta ya umma na binafsi katika utalii unaendelea jijini Arusha…

Soma Zaidi »

Hongera Tamwa, TCRA, asante Rais Samia

KATIKA moja ya kauli zake Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere amewahi kunukuliwa akisema, “Uandishi wa habari ni nyenzo muhimu…

Soma Zaidi »

Benki ya Ushirika iwe mkombozi kwa ushirika

MOJA ya sekta ambazo katika siku za karibuni imekuwa ikipata mafanikio makubwa na kuonesha ufanisi ni sekta ya ushirika. Sekta…

Soma Zaidi »
Back to top button