Siasa

Dhamira za kisiasa zinusuru mito isikauke

KWA kipindi cha Novemba 10 hadi 15 mwaka 2025 na kwa neema ya Mungu, nilitembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha (RUNAPA)…

Soma Zaidi »

Krismasi, Mwaka Mpya 2026 ziwe msingi wa amani

KESHOKUTWA ni siku ya Mkesha wa Sikukuu ya Krismasi inayosherehekewa Desemba 25, 2025. Siku kama hiyo wiki ijayo; Alhamisi, Januari…

Soma Zaidi »

Kila Mtanzania mzalendo ni muumini wa maridhiano

SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha dhamira ya dhati ya maridhiano ya kweli tangu…

Soma Zaidi »

Wadau watarajia ripoti ya tume kuimarisha umoja

TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikitegemewa…

Soma Zaidi »

Askofu Bagonza aanika ‘sumu’ za maridhiano

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza ametaja sumu tano zinazoua maridhiano.…

Soma Zaidi »

Simbachawene ataja misingi ya maridhiano

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema maridhiano ni mchakato unaohitaji uvumilivu, ustahimilivu, unyenyekevu na ushirikiano wa…

Soma Zaidi »

Tanzania, India zasaini makubaliano kuendeleza tiba asili

INDIA; Serikali ya Tanzania na India zimesaini Hati ya Makubaliano kuhusu ushirikiano kwenye Sekta ya Afya katika kuendeleza tiba asilia…

Soma Zaidi »

Diplomasia ya uchumi kuitangaza Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar ina fursa nyingi za kiuchumi,…

Soma Zaidi »

Tanzania, Misri kuimarisha kilimo, viwanda, uchukuzi

MISRI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Sanaa…

Soma Zaidi »

Wadau waeleza matarajio tume ya uchunguzi

WADAU wa siasa na diplomasia wameeleza matarajio na imani yao kwa Tume Huru ya Uchunguzi ya vurugu zilizotokea wakati na…

Soma Zaidi »
Back to top button