Chaguzi

Dk Nchimbi aahidi pembejeo bure wakulima wa korosho

MTWARA: MGOMBEA Mwenza kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi amesema serikali itaendelea kuwahudumia wakulima wa zao la korosho…

Soma Zaidi »

NRA yaahidi kuanzisha wizara mambo ya hovyo

DODOMA: Mgombea urais kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Almas, amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza…

Soma Zaidi »

Wagombea Urais UDP na ufafanuzi wa Ilani UDP

KAMPENI za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa zinaendelea kuelekea siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Wagombea wa vyama…

Soma Zaidi »

Kiruswa aishukuru serikali ya CCM kuthamini wafugaji

ARUSHA : MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Longido, Dk Steven Kiruswa ameishukuru serikali kwa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Wapinzani hawana uwezo kuongoza

ZANZIBAR : MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amesema wapinzani hawana uwezo…

Soma Zaidi »

Makonda asema Miradi ya CCM inaacha alama

ARUSHA : MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda ametaja miradi iliyotekelezwa na serikali ya Chama Cha Mapinduzi…

Soma Zaidi »

Kinana amsifu kwa bidii Samia

MAKAMU Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan anajituma.

Soma Zaidi »

Mfumo wa stakabadhi ghalani utasimamiwa

MTWARA : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuendelea kusimamia mfumo wa stakabadhi ghalani kwa wakulima. Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania…

Soma Zaidi »

Samia ataja mikakati ya utalii Arusha

ARUSHA : MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ametaja mikakati ya kukuza…

Soma Zaidi »

Manyara yapamba moto mapokezi ya Dk Samia

MANYARA: Maandalizi ya kumpokea Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suluhu Hassan katika  Mkoa wa Manyara yamepamba…

Soma Zaidi »
Back to top button