Chaguzi

Ngajilo aeleza mipango itakayofanikisha Iringa kuwa jiji

IRINGA: Fadhil Ngajilo, mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Iringa Mjini, ameweka wazi mkakati wa kuubadilisha mji wa Iringa na…

Soma Zaidi »

Mwinyi: CCM kuboresha maisha ya wafanyabiashara

ZANZIBAR : MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi »

Doyo ataka uvuvi wa kisasa Kigoma

KIGOMA : MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa akichaguliwa…

Soma Zaidi »

Mwinyi awaomba kura wauza samaki,wajasiriamali

ZANZIBAR : MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na kampeni zake…

Soma Zaidi »

Samia aahidi ajira 5,000 siku 100 za kwanza

KOROGWE: Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya…

Soma Zaidi »

Samia aahidi reli, barabara kupaisha uchumi Tanga

TANGA; MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake itajenga reli…

Soma Zaidi »

Dk Samia amefanya maajabu Tanga

TANGA: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassimu Mbaraka, amesema kuwa Rais na Mgombea…

Soma Zaidi »

Nape: Oktoba 29 nendeni mkamalize kazi!

TANGA: MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema…

Soma Zaidi »

Dk. Samia aahidi kujenga soko la samaki la kimataifa Tanga

TANGA: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa…

Soma Zaidi »

Dk. Samia: Kila mtanzania atapa maji safi na salama

TANGA: MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea…

Soma Zaidi »
Back to top button