Chaguzi

Ngorongoro wajawa matumaini serikali ya CCM

ARUSHA: JAMII ya kifugaji ya kimasai wilayani Ngorongoro imeonyesha imani kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Serikali ya…

Soma Zaidi »

Zitto aahidi maendeleo pembezoni mwa mji wa Kigoma

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa akiingia madarakani atatoa kipaumbele…

Soma Zaidi »

Samia: Tunajiamini, sera zetu zinaaminika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya siasa 17 vilivyosimamisha wagombea wa kiti cha rais, katika Uchaguzi wa…

Soma Zaidi »

Dk Samia aahidi kuendeleza miradi Mtwara

MGOMBEA: Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza miradi mikubwa ya kilimo na…

Soma Zaidi »

Samia: Tutalinda bei za mazao

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema wananchi  wakimchagua, serikali yake italinda bei za…

Soma Zaidi »

Neema yaja wakulima wa parachichi Wanging’ombe

NJOMBE: Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, amewahakikishia wakulima wa parachichi na mahindi…

Soma Zaidi »

Wananchi Olorieni wataka miradi ya maendeleo iharakishwe

ARUSHA: WANANCHI wa Kata ya Olorieni na Magaiduru zilizoko katika Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha wameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi…

Soma Zaidi »

Mgombea ubunge aahidi maendeleo Ngorongoro

ARUSHA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi{CCM) aliyepita bila kupingwa katika jimbo hilo, Yannick Ndoinyo amesema kuwa…

Soma Zaidi »

Chaumma: Bima ya afya, vyeti vya kuzaliwa bure

ARUSHA : CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ndani ya siku 100 tangu kuingia madarakani kitawapa bure wananchi bima…

Soma Zaidi »

Dk Tulia agusia sekta ya kilimo

MBEYA: KUIMARISHWA kwa usafiri wa reli na ujenzi wa uwanja wa kisasa wa maonyesho ya wakulima ya Nanenane jijini Mbeya…

Soma Zaidi »
Back to top button