Chaguzi

Ushiriki wa wanawake siasa waimarika

MJUMBE Maalum wa Umoja wa Afrika wa Wanawake, Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula, amesema mwamko wa wanawake kushiriki kwenye…

Soma Zaidi »

Wagombea zingatieni ilani, toeni ahadi zinazotekelezeka

OKTOBA 29, mwaka huu Watanzania watatekeleza jambo kubwa la kidemokrasia na kihistoria la kuwachagua viongozi wa kuwaongoza kwa miaka mitano…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi asema ahadi za serikali zinatekelezwa

ZANZIBAR : MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amewatoa wasiwasi Watanzania juu…

Soma Zaidi »

Samia: CCM tutakuza kipato binafsi

ZANZIBAR : MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema wakipewa ridhaa, Serikali za Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi »

Zitto aahidi mikopo bila riba kwa wajasiriamali

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuanzisha mfuko…

Soma Zaidi »

Sillo anadi vipaumbele vitatu muhimu

MANYARA: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Vijijini mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Sillo, ametaja…

Soma Zaidi »

NCCR-Mageuzi kuboresha afya, elimu Zanzibar

ZANZIBAR: MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Laila Rajab Khamis, amesema chama hicho kimejipanga kufanya mapinduzi makubwa…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: Mchagueni Samia aendeleze maajabu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakijawahi kupungukiwa viongozi wenye uwezo wa kutumikia Watanzania kwa ufanisi. Mgombea mwenza wa urais kupitia…

Soma Zaidi »

ACT-Wazalendo yapinga INEC kumuondoa Mpina

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumuondoa mgombea wake wa urais,…

Soma Zaidi »

Uchumi watawala ahadi za Samia, aanza ziara Unguja

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anaanza kampeni katika mikoa Mjini Magharibi, Kusini Unguja na…

Soma Zaidi »
Back to top button