Chaguzi

Mgombea ubunge CCM aahidi karakana la ujuzi mjini Geita

GEITA: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Geita Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Chacha Wambura ameahidi iwapo atachaguliwa atafanikisha…

Soma Zaidi »

Amani yatawala Mtwara uchaguzi mkuu

MTWARA: MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewakikishia hali ya amani na usalama wananchi mkoani humo wakati wa…

Soma Zaidi »

Vifaa vya uchaguzi vyawasili Arusha

ARUSHA: MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema kuwa vifaa vyote vya uchaguzi vimeshawasili mkoani Arusha kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Makonda aahidi neema kwa vijana

ARUSHA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema wananchi wakimchagua atahakikisha vijana wanapatiwa…

Soma Zaidi »

Polisi Songwe kuimarisha ulinzi uchaguzi mkuu

SONGWE: ZIKIWA zimebaka siku mbili kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limesema limeweka mikakati…

Soma Zaidi »

Mjumbe INEC ataka uadilifu uchaguzi mkuu

MOROGORO: WASIMAMIZI na wasaidizi wa vituo vya kupigia kura wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, uaminifu na uzalendo ili kuhakikisha…

Soma Zaidi »

CUF kuongeza ushindani masoko ya hisa

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema serikali yake itaruhusu masoko mengine ya hisa na mitaji yafanye kazi sambamba na Soko la…

Soma Zaidi »

SWAUTA yapongeza Ilani CCM

TAASISI ya Sauti ya Wanawake Wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) imekipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuonesha kuwajali watu wenye ulemavu…

Soma Zaidi »

Tamati kampeni Uchaguzi Mkuu 2025

VYAMA vya siasa kesho vinamaliza kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani Tanzania Bara. Kampeni za Uchaguzi wa…

Soma Zaidi »

JK awamwagia sifa Samia, Dk Mwinyi utekelezaji Ilani

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha vitendo. Kikwete amesema hayo katika Uwanja wa Jambiani,…

Soma Zaidi »
Back to top button