Siasa

Dayo aahidi kuongeza mikopo bila riba

TABORA : MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha NLD, Hassan Dayo, amewasili mkoani Tabora kuomba ridhaa ya wananchi wa mkoa…

Soma Zaidi »

CCM yaendeleza kampeni Longido

ARUSHA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Longido mkoani Arusha kimeendelea na kampeni zake za kuwanadi wagombea wake wa nafasi…

Soma Zaidi »

Samia: Tayari nimeona moshi mweupe!

MOSHI:Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi( CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amesema wananchi mkoani Kilimanjaro wameonesha…

Soma Zaidi »

Ngajilo aeleza mipango itakayofanikisha Iringa kuwa jiji

IRINGA: Fadhil Ngajilo, mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Iringa Mjini, ameweka wazi mkakati wa kuubadilisha mji wa Iringa na…

Soma Zaidi »

Mwinyi: CCM kuboresha maisha ya wafanyabiashara

ZANZIBAR : MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar…

Soma Zaidi »

Doyo ataka uvuvi wa kisasa Kigoma

KIGOMA : MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa akichaguliwa…

Soma Zaidi »

Mwinyi awaomba kura wauza samaki,wajasiriamali

ZANZIBAR : MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na kampeni zake…

Soma Zaidi »

Samia aahidi ajira 5,000 siku 100 za kwanza

KOROGWE: Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya…

Soma Zaidi »

CCM yajipanga kujenga viwanda kusindika matunda, viungo Muheza

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema serikali yake itajenga viwanda vya kusindika matunda na mazao ya viungo Muheza mkoani Tanga. Mgombea…

Soma Zaidi »

Samia aahidi reli, barabara kupaisha uchumi Tanga

TANGA; MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake itajenga reli…

Soma Zaidi »
Back to top button