Siasa

‘Kufikisha ujumbe kwa maandamano hakuleti chakula’

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kunung’unika na kufikisha ujumbe wa changamoto mbalimbali kwa…

Soma Zaidi »

Mgombea ubunge Ngorongoro ampa sifa Dk Samia

ARUSHA: MGOMBEA ubunge Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo amesema kuwa Rais wa kwanza nchini tangu uhuru kuwasikiliza viongozi…

Soma Zaidi »

Ngajilo aahidi kituo cha afya Uyole kuanza kazi ndani ya siku 100

IRINGA: MGOMBEA  ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CCM, Fadhili Ngajilo, amepeleka ujumbe kwa Mkurugenzi na Mganga…

Soma Zaidi »

CCM yaahidi bandari ya kisasa Bagamoyo

PWANI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa endapo kitapewa ridhaa ya kuendelea kuongoza dola katika Uchaguzi Mkuu ujao, kitaendeleza mradi…

Soma Zaidi »

Mgombea urais CUF: Pigeni kura, msisuse

TANGA: Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Semandito Gombo amewataka watanzania kutosusia uchaguzi mkuu kwani mabadiliko ya kweli…

Soma Zaidi »

Wadau waongeze kasi elimu ya mpigakura

LEO imetimia siku 30 tangu kampeni za vyama vya siasa zizinduliwe nchini Tanzania. Kampeni hizi zimekuwa fursa muhimu kwa vyama…

Soma Zaidi »

CCM yaja na mashamba darasa

MUFINDI : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepanga kuanzisha mashamba darasa ya sekta za kilimo, mifugo na uvuvi.Mgombea mwenza wa urais…

Soma Zaidi »

CUF yahimiza kupiga kura Oktoba 29

MOSHI : CHAMA cha Wananchi (CUF) kimehimiza wananchi waende kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, mwaka huu.

Soma Zaidi »

Wazanzibari wahimizwa kuchagua amani

MGOMBEA ubunge Jimbo la Kiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hemed Suleiman Abdulla ametoa mwito kwa Wazanzibari, wachague…

Soma Zaidi »

Samia: Tutaendelea na kasi ileile

MCHINGA : CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali ya Awamu ya Sita katika awamu yake ya pili itatekeleza miradi kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button