Siasa

Wasira awaomba watanzania kumpa kura Dk Samia

SONGWE: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ametaja uwezo na juhudi inatosha kwa Watanzania kumchagua…

Soma Zaidi »

Mbambabay mguu sawa kumpokea Samia

NYASA, Ruvuma: WANANCHI wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameonesha shauku ya kusikiliza sera za mgombea wa kiti cha rais…

Soma Zaidi »

Masoud afanya kampeni soko la darajani

UNGUJA, Zanzibar: MGOMBEA Urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, Sept 20, 2025 amefanya matembezi katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »

Ujenzi kiwanda cha meli uharakishwe -Zitto

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ujenzi wa cherezo (kiwanda)…

Soma Zaidi »

“Nitaondoka michango isiyo na tija shuleni”

DAR ES SALAAM: MGOMBEA Udiwani Kata ya Zingiziwa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Selemani Kaniki ameahidi kufuatilia kikamilifu…

Soma Zaidi »

Dk Samia kuitikisa Pemba kampeni leo

PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kutikisa kisiwa cha Pemba katika mwendelezo wa…

Soma Zaidi »

Dk Samia kufanya kampeni Sept 23 Mtwara

MTWARA: RAIS wa Tanzania na mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan, anatarajia…

Soma Zaidi »

Bulala aanza kampeni kwa kishindo

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cosmas Bulala, ameahidi kushughulikia changamoto…

Soma Zaidi »

DP kufuta kikokotoo cha wastaafu

CHAMA Cha Democratic Party (DP) kimesema serikali yake itaboresha mafao ya wastaafu. Mgombea urais kupitia chama hicho, Abdul Juma Mluya…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo kuruhusu karafuu iuzwe popote

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema serikali yake itaruhusu wakulima wa…

Soma Zaidi »
Back to top button