Siasa

Samia: CCM tutakuza kipato binafsi

ZANZIBAR : MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema wakipewa ridhaa, Serikali za Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi »

Zitto aahidi mikopo bila riba kwa wajasiriamali

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuanzisha mfuko…

Soma Zaidi »

Sillo anadi vipaumbele vitatu muhimu

MANYARA: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Vijijini mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Sillo, ametaja…

Soma Zaidi »

NCCR-Mageuzi kuboresha afya, elimu Zanzibar

ZANZIBAR: MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Laila Rajab Khamis, amesema chama hicho kimejipanga kufanya mapinduzi makubwa…

Soma Zaidi »

Baraza la Vyama: Wanasiasa wasipotoshe kura ya mapema Z’bar

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepuliza kipenga cha kuanza kampeni za vyama vya siasa za takribani siku 40, zikihusisha ya…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi: Mchagueni Samia aendeleze maajabu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakijawahi kupungukiwa viongozi wenye uwezo wa kutumikia Watanzania kwa ufanisi. Mgombea mwenza wa urais kupitia…

Soma Zaidi »

ACT-Wazalendo yapinga INEC kumuondoa Mpina

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumuondoa mgombea wake wa urais,…

Soma Zaidi »

Uchumi watawala ahadi za Samia, aanza ziara Unguja

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anaanza kampeni katika mikoa Mjini Magharibi, Kusini Unguja na…

Soma Zaidi »

TZ, Japan kuimarisha biashara ya kaboni

DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingara, Mhandisi Cyprian Luhemeja, leo amezindua Kamati ya…

Soma Zaidi »

‘Vyama viwape kipaumbele wenye ulemavu’

WADAU mbalimbali wa demokrasia wanakiri kuwa, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) mwaka huu imefanya juhudi kubwa kushirikisha watu…

Soma Zaidi »
Back to top button