Siasa

Samia aahidi Zanzibar yenye neema tele

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi mambo matano atakayoyatekeleza kwa ushirikiano na mgombea…

Soma Zaidi »

Othman aahidi Chuo Kikuu kumuenzi Maalim Seif

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuuenzi urithi wa Marehemu Maalim Seif Sharif…

Soma Zaidi »

Waangalizi wa EAC waingia Tanzania

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua  Tume ya Uangalizi wa Uchaguzi yenye wataalamu 67 kutoka nchi zote wanachama, kwa ajili…

Soma Zaidi »

Polisi Tabora waahidi uchaguzi wa amani

JESHI la Polisi mkoani Tabora limefanya mazoezi ya hiari katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »

CP Kombo:Uchaguzi utakuwa wa amani

ZANZIBAR : JESHI la Polisi Kamisheni ya Zanzibar limewahakikishia wananchi kuwa hali ya ulinzi na usalama katika kipindi hiki cha…

Soma Zaidi »

Wenyeviti wa mitaa hakikisheni wananchi wanapiga kura kwa amani-RC Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Oktoba 24, 2025 amekutana na Wenyeviti na Watendaji wa serikali…

Soma Zaidi »

ZEC : Maandalizi ya uchaguzi yakamilika

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo yamefikia hatua nzuri, ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Leila Khamis : Mwanamke pekee mgombea urais Zanzibar

LEILA Rajab Khamis ni miongoni mwa wagombea 11 wa urais wa Zanzibar, akiwa mwanamke pekee akipeperusha bendera ya Chama cha…

Soma Zaidi »

Bakwata yawataka Waislamu kupiga kura

BARAZA Kuu Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya ya Dodoma limewataka mashehe, maimamu na walimu wa madrasa kutekeleza majukumu yao na kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Dodoma waombea amani kuelekea uchaguzi Mkuu

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewahadharisha wanaofi kiria kuharibu amani ya mkoa huo kuelekea. Uchaguzi Mkuu Oktoba 29,…

Soma Zaidi »
Back to top button