Tanzania

Tanapa yaita wawekezaji Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

BODI ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imeendelea kuhamasisha na kuwakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika Hifadhi…

Soma Zaidi »

Usafiri wa mwendokasi waanza Mbagala

HUDUMA za usafi ri wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutoka Mbagala kwenda Posta na Gerezani imerejea jana baada ya kusitishwa…

Soma Zaidi »

Viongozi watakiwa kupambana wizi wa umeme

VIONGOZI wa serikali za mitaa na madiwani wametakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na wizi wa umeme ili kuzuia uharibifu…

Soma Zaidi »

Chongolo aahidi kutimiza malengo Wizara ya Kilimo

WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo ameieleza menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kuwa kazi na malengo yaliyopangwa yatafi kiwa kwa…

Soma Zaidi »

SADC yazindua Mkakati wa Mawasiliano 2025/2030

JUMUIYA ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezindua Mkakati wa Mawasiliano na Uhamasishaji ya mwaka 2025/2030 ili kuimarisha mawasiliano, uhusiano…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi apokea kitabu cha kampeni Uchaguzi Mkuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amepokea Kitabu Maalumu chenye mkusanyiko wa habari picha…

Soma Zaidi »

Mchakamchaka nafasi za umeya CCM waanza

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinafunga pazia la kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya meya, naibu meya na wenyeviti wa…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kutumia hotuba ya rais kupata suluhu

VIJANA nchini wametakiwa kuijadili na kuitumia hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Bunge la 13 kama suluhu ya…

Soma Zaidi »

Tume Uchunguzi vurugu Oktoba 29 yazinduliwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliotokea wakati na baada ya…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu akutana na Katibu TEC

DAR ES SALAAM; Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button