Tanzania

Rais Samia ateua Mawaziri 27, Naibu Mawaziri 29

DODOMA; RAIS wa Tanzania,  Dk Samia Suluhu Hassan leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye mawaziri 27 na Naibu Mawaziri…

Soma Zaidi »

Uteuzi wa Madiwani Vitimaalum Wakamilika 99%

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukamilisha uteuzi wa Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu 1,385 kati ya 1,387…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti CCM Tanga atoa mil 13/- kusaidia vijana

TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman ametoa kiasi cha Sh milioni 13.4 kuwalipia madeni…

Soma Zaidi »

Watahiniwa kidato cha nne waongezeka 7.6%

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi kuzindua uuzaji nyumba za ZHC

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi: Sitovumilia ugomvi wizarani

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hatovumilia ugomvi wa viongozi katika wizara ukiwemo wa mawaziri na makatibu wakuu. Dk…

Soma Zaidi »

Bil 140/- kujenga barabara za Ilala

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewaomba wananchi waendelee kuiunga mkono serikali kwa kuwa imetoa fedha nyingi za ujenzi…

Soma Zaidi »

Samia ahimiza kuomba amani, ustahimilivu

RAIS Samia Suluhu Hassan amewahimiza Watanzania kuendelea kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano viendelee kudumu nchini.

Soma Zaidi »

DC Mwaipaya awahamasisha wananchi kushiriki michezo

MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya amewataka wananchi wilayani humo kuendelea kushiriki michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu…

Soma Zaidi »

Othman asisitiza wananchi kudumisha amani

ZANZIBAR: MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) Taifa, Othman Masoud Othman amewataka wananchi kuwa watulivu…

Soma Zaidi »
Back to top button