Tanzania

Tanzania yajumuika mjadala wa AI duniani

RIYADH: Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi akifuatilia mjadala wa matumizi ya akili mnemba (Artificial Inteligence)…

Soma Zaidi »

Rais Samia Awateua Wabunge Sita

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameteua wabunge sita kuingia katika Bunge la Jamhuri ya…

Soma Zaidi »

Wafugaji Kaskazini Wahimizwa Kuchanja Mifugo

WAKALA ya Maabara ya Vetenari Tanzania (TVLA) Kanda ya Kaskazini wamewashauri wafugaji kanda hiyo kuhakikisha wanaipa chanjo mifugo yao ili…

Soma Zaidi »

Jamii yaagizwa kuchukua tahadhari ya moto

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wananchi wa mkoa huo kuchukua hatua madhubuti za kujikinga na kudhibiti majanga…

Soma Zaidi »

Waumini Waelimishwe Kuhusu Amani

ASKOFU wa makanisa ya PMC Tanzania, Gervase Masanja amesema ni muhimu viongozi wa dini waelimishe waumini waombe amani na utulivu.…

Soma Zaidi »

Tanzania Ni Nchi Salama kwa Utalii

SERIKALI imesema hali ya utalii na amani viko imara nchini Tanzania. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan…

Soma Zaidi »

Wapinzani waguswa ahadi za Samia

VIONGOZI vya vyama vya upinzani wamesema Rais Samia Suluhu Hassan akitekeleza mambo aliyoahidi kuyafanya katika siku 100 tangu aapishwe, wananchi…

Soma Zaidi »

UVCCM: Amani ya Tanzania ni faraja kwa majirani

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani…

Soma Zaidi »

HESLB yatoa bil 215.3/- kwa wanafunzi 66,987

Na Mwandishi Maalumu BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji…

Soma Zaidi »

Polisi yaanika athari vurugu uchaguzi, yasaka wanane

JESHI la Polisi nchini limebainisha athari kubwa zilizotokana na vurugu, uporaji na uvunjifu wa amani vilivyotokea Oktoba 29, mwaka huu…

Soma Zaidi »
Back to top button