Tanzania

ZEC yawateua wagombea 11 Urais Zanzibar

ZANZIBAR : TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imethibitisha wagombea 11 wa urais wa Zanzibar kati ya 17 waliochukua fomu za…

Soma Zaidi »

Manara aahidi kuita Kariakoo “City Centre”

DAR ES SALAAM : MGOMBEA Ubunge wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amewaahidi wafanyabiashara na wakazi wa kata hiyo kuwa…

Soma Zaidi »

Maombi ya Mavokali yagusa mashabiki

DAR ES SALAAM : MSANII wa Bongo Fleva, Benjamin Mwenda maarufu kama Mavokali, ameacha gumzo mitandaoni baada ya kushiriki maombi…

Soma Zaidi »

Takukuru yatoa angalizo wasimamizi wa uchaguzi Geita

GEITA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imewataka wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata…

Soma Zaidi »

Wananchi wa Mabira wafurahia ujenzi barabara

KAGERA: WANANCHI wa kata ya Mabira, iliyopo Wilaya ya Kyerwa Mkoa wa Kagera wameipongeza serikali kwa kuanza ujenzi wa barabara…

Soma Zaidi »

Wajasiriamali wapewa mafunzo ubora wa masoko

ARUSHA: ZAIDI ya wajasiriamali 300 wa matunda na mbogamboga kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Arusha wamepatiwa mafunzo salama, ubora, masoko…

Soma Zaidi »

UDP yaahidi kusimamia matumizi sahihi rasilimali za nchi

GEITA: CHAMA Cha siasa cha UDP kimeahidi kuwa iwapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,…

Soma Zaidi »

Wakulima Kilimanjaro waonywa ung’oaji miche ya kahawa

KILIMANJARO: MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amepiga marufuku wakulima kung’oa miche ya kahawa, akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga…

Soma Zaidi »

Wadau wakumbushwa umuhimu elimu jumuishi

MTWARA: JAMII na wadau mbalimbali wa elimu mkoani Mtwara wamekumbushwa umuhimu wa elimu jumuishi kwa wanafunzi hasa wenye mahitaji maalumu…

Soma Zaidi »

Mfanyabiashara mlemavu apewa tabasamu Babati

MANYARA: Ramadhani Omar mkazi wa mtaa wa N’gwan’gwarai wilayani Babati mkoani Manyara ni kijana mwenye ulemavu wa viungo lakini ni…

Soma Zaidi »
Back to top button