Tanzania

Afya ya udongo muhimu kabla ya kutumia mbolea

MOROGORO: WAKULIMA wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya ya udongo kwa ajili ya kujua aina ya virubutisho vilivyopo kwenye udongo…

Soma Zaidi »

Sangweni: Mfungamano gesi asilia, kilimo utaongeza tija

DODOMA: ENDAPO sekta za gesi asilia na kilimo zitafungamanishwa vema zitaongeza tija katika uchumi kwani zinategemeana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Soma Zaidi »

Buriani Ndugai

DAR ES SALAAM; SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai(62) amefariki dunia jana jijini Dodoma.…

Soma Zaidi »

Waandishi Bunifu waalikwa kushiriki Tuzo ya Mwalimu Nyerere

DAR ES SALAAM : DURU ya nne ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa mwaka 2025/2026…

Soma Zaidi »

THRDC yawanoa watetezi haki za watoto

DODOMA: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa mafunzo kwa washiriki 40 wanaojihusisha na utetezi wa haki…

Soma Zaidi »

Samia, Dk Mwinyi wamlilia Ndugai

DAR ES SALAAM: RAIS  wa Tanzania,  Dk Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza…

Soma Zaidi »

Job Ndugai afariki dunia

DODOMA: SPIKA Mstaafu na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…

Soma Zaidi »

Waandishi 2,109 waidhinishwa Ithibati, 43 wakwama

DAR ES SALAAM; KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) Wakili Patrick Kipangula, amesema hadi…

Soma Zaidi »

Wafugaji sasa kufuga kisasa

ARUSHA: TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imekuja na teknolojia ya “Bolus “inayomwezesha mfugaji kufuga kisasa…

Soma Zaidi »

Serikali Mtandao wapongezwa kuchangia mapinduzi kilimo

DODOMA; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Athumani Kilundumya, ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuchangia mapinduzi katika sekta ya…

Soma Zaidi »
Back to top button