Zanzibar

‘Tutahakikisha amani, mshikamano vinadumu’

ZANZIBAR; Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Hemed Suleiman Abdulla, amesema serikali itaendelea kuhakikisha amani na mshikamano uliopo nchini unadumu…

Soma Zaidi »

Mgombea upinzani amuunga mkono Dk Mwinyi

ZANZIBAR : MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema anamuunga mkono mgombea kupitia…

Soma Zaidi »

ATCL inavyofungua uchumi Pemba

PEMBA ni moja ya visiwa vya Zanzibar vilivyo katika Ukanda wa Bahari ya Hindi. Pemba ina historia ya utajiri wa…

Soma Zaidi »

CCM yataka viwanda vichangie 25% pato Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) iongeze mchango wa sekta ya viwanda katika Pato…

Soma Zaidi »

Kuagiza bahari ifukiwe kupata ardhi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaielekeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ianze mpango wa kufukia bahari ili kupata ardhi…

Soma Zaidi »

Utoro wa madaktari Pemba wapungua

PEMBA : TATIZO la utoro wa madaktari katika Kisiwa cha Pemba limepungua kwa kiwango kikubwa baada ya Serikali kuwajengea makazi…

Soma Zaidi »

SMZ yapongezwa uwekezaji sekta ya afya

KIZIMKAZI, ZANZIBAR: WAKAZI wa Kizimkazi Mkunguni wameeleza furaha na fahari yao kufuatia upatikanaji wa huduma bora za afya kupitia Kituo…

Soma Zaidi »

Uwanja wa kisasa wakamilika Zanzibar

Moja ya ahadi muhimu katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu uboreshaji wa miundombinu ya michezo visiwani Zanzibar imetimia,…

Soma Zaidi »

ZEC yataka kampeni za kistarabu

ZANZIBAR: MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amevitaka vyama vya siasa kufanya kampeni kwa kistarabu,…

Soma Zaidi »

Mwinyi: Zanzibar imepiga hatua haki za wanawake

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua katika kulinda…

Soma Zaidi »
Back to top button