CCM yaongoza kwa uzoefu-Dk.Nchimbi

MAKAMBAKO : MGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema CCM ndicho chama pekee nchini kinachoweza kujivunia uzoefu wa kuongoza serikali na kuwaletea maendeleo wananchi kwa mafanikio makubwa.
Akihutubia mkutano wa hadhara Makambako mkoani Njombe, Dk Nchimbi alisema hakuna chama kingine chenye historia ya muda mrefu ya uongozi wa kitaifa zaidi ya CCM, na ndio maana kila serikali ya chama hicho inapopita huacha alama kubwa ya maendeleo kwa Watanzania.
Alisema uzoefu wa CCM umekuwa dira muhimu ya maendeleo ya nchi, tofauti na baadhi ya mataifa ambayo yamekuwa yakipitia changamoto kubwa licha ya kuongozwa na vyama vingine kwa muda mrefu.SOMA: Chongolo: Nchimbi ni chaguo sahihi
Alisema hakuna chama chochote nchini kinaweza kikaongelea uzoefu wake wa kuongoza nchi. “Wanaweza kuongelea uzoefu wa udiwani au ubunge au wa serikali za mitaa mbili tatu lakini uzoefu wa kuongoza nchi ikifika katika hatua hiyo wanajidai wamesahau hawaongelei jambo hilo kwa sababu CCM ndio chama pekee chenye uzoefu wa kuongoza nchi kwa mafanikio unaweza ukapata nafasi ya kuongoza nchi lakini ukaongoza bila mafanikio.”
Everybody can earn $250+ daily… You can earn from $19845-$38514 a month or even more if you work as a full time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity..
go to this site home tab for more detail thank you…… Jobathome1.Com
Everybody can earn $250+ daily… You can earn from $19845-$38514 a month or even more if you work as a full time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity..
go to this site home tab for more detail thank you…… https://Www.Jobathome1.Com
Everybody can earn $250+ daily… You can earn from $19845-$38514 a month or even more if you work as a full time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it care 大樹藥局犀利士學名藥
can earn $250+ daily… You can earn from $19845-$38514 a month or even more if you work as a full time job…It’s easy, just follow instr 威而鋼台灣官網入口
can earn from $19845-$38514 a month or even more if you work as a full time job…It’s easy, 美國黑金ptt