China yafungua daraja kubwa duniani

BEIJING: CHINA imefungua rasmi daraja la Grand Canyon la Huajiang lenye urefu wa mita 625 juu ya bonde katika mkoa wa Guizhou, na kuingia katika rekodi ya daraja kubwa zaidi duniani lililojengwa eneo la milimani.

Kwa mujibu wa mamlaka nchini humo, daraja hilo limepunguza muda wa kusafiri kati ya pande mbili za bonde kutoka saa mbili hadi dakika mbili pekee, baada ya kupimwa uthabiti wake kwa kuendeshwa malori 96 mnamo Agosti mwaka huu. SOMA: China yajipanga kudhibiti uchafu wa mazingira

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button