Dayo aahidi kuongeza mikopo bila riba

TABORA : MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha NLD, Hassan Dayo, amewasili mkoani Tabora kuomba ridhaa ya wananchi wa mkoa huo katika kampeni zake za kuwania urais.

Akihutubia wananchi katika kata ya Chemchem, eneo la soko la Kachoma, Dayo alieleza sera zake, akisema lengo lake ni kuinua kipato cha makundi maalumu kupitia mikopo ya halmashauri. SOMA: NLD yaahidi kupitia upya mikataba ya madini

Aliahidi kuwa endapo atachaguliwa kuongoza nchi, wake nmikopo ya vijana, wanawake watu wenye ulemavu itaongezwa kutoka asilimia 10 ya sasa hadi kufikia asilimia 40, na itatolewa bila riba.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button