Dk Kijaji akabidhiwa ofisi, tayari kuanza kazi

DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk, Ashatu Kijaji amekabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake Balozi Dk, Pindi Chana tayari kwa kuiongoza Wizara hiyo yenye mchango mkubwa kiuchumi nchini.
Katika makabidhiano hayo yaliyofanyika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma leo Novemba 20,2025,
Dk, Kijaji licha ya kumpongeza mtangulizi wake kwa hatua hiyo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini na kumteua kwenye nafasi hiyo, huku akiahidi kuwatumikia vyema nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla.
 
Aidha aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo Balozi Dk Pindi Chana, amemshukuru Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini katika ngazi mbalimbali alizozitumikia na ameahidi kutoa ushirikiano kwa uongozi mpya wa wizara hiyo pale itakapo hitajika.
 
Zoezi hilo la Makabidhiano limeshuhudiwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii , Hamad Hassan Chande, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk, Hassan Abbasi na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Shani Kamala.

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button