Waziri Mkuu Mteule Dk Mwigulu Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma leo Novemba 13, 2025.
Dk Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na kuthibitishwa na bunge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)