Mkurugenzi Mtendaji
wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa), Aron
Joseph akizungumza
na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Rosemary
Senyamule (kushoto
kwake) alipokwenda
kukagua kazi ya
urejeshaji wa mifuniko
ya majitaka katikati ya jiji hilo mwishoni mwa wiki. Watu wasio waadilifu wanadaiwa kuiba mifuniko 61 na kuingizia serikali hasara ya zaidi ya
Sh milioni 91 mjini humo. (Picha na Fadhili Akida).