MAZUNGUMZO
SIJALI AZUNGUMZA NA MTOTO WAKE ,MASHAKA
Sijali: Je,mtihani Ilikuwa ngumu?
Mashaka:Ndiyo,mtihani ulikuwa mgumu sana.
Sijali:Je, unafikiri utafaulu?
Mashaka;Sijui,lakini nilifanya karibu maswali yote.
Sijali:Je,watoto wote wakiona mtihani ni mgumu?
Mashaka:Ndiyo,Kila mtoto alisema mtihani huo ni mgumu sana.
Sijali:Mwalimu wenu anasemaje juu ya mtihani?
Mashaka:Hakusema neno .Alisema tu “poleni watoto!”
Sijali:majibu yatatoka lini?
Mashaka :Majibu yatatoka mwezi ujao
Sijali:Ukifaulu utakwenda wapi?
Mashaka:Nikifaulu ,nitakwenda shule ya sekondari.
Sijali:Je ,Unataka kusomea nini?Unataka kazi gani?
Mashaka:Ninataka kuwa daktarii Ili niwatibu wagonjwa.
NNchi yetu Haina waganga wa kutosha ,na wagonjwa ni wengi sana
Sijali:Vizuri sana mwanangu ukiwa mganga nitafurahi sana.
Maneno Muhimu
Kwenda shuleni,. To go to school
Kurudi Toka shuleni, to come back from school
Mwalimu Yuko shuleni,. The teacher is at school
Hayuko shuleni,. He is not at school.
Kusoma shule ya msingi ,. to attend primary school
Kufanya mtihani, to do examinations
End of our topic