Jifunze Kiswahili
Letter M
-M-,. him,her
-m-, you(pl.)
maajabu, wonders
maana,. meaning(haina maana it has no meaning,it is nonsense)
maarifa, experience,knowledge,subject matter
maarufu. noted,famous
mabasi,. buses
maendeleo. development
mafuta oil
mahali. place
maharage. .. beans
mahind maize
maisha. life
majani. glass,leaves
maji. water
mali wealth
maliza,ku-,. to finish
mama. mother
mambo. matters
mapema,. early
mapenzi,. love,affection
majira,. times
magonjwa. sicknesses
mashariki. east
We will continue with letter M next period