Majaliwa, Kikwete kwenye ufungaji kampeni CCM

MWANZA; Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) , akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wake wa urais, Samia Suluhu Hassan wanahitimisha kampeni.



