Makamu wa Rais Dk Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo Agosti 26, 2025.
Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wilaya ya Buhigwe utakaofanyika Agosti 27, 2025.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)