Matukio mbalimbali uzinduzi utekelezaji wa AfCFTA

DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) leo Julai 24, 2025 jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jafo na kuhudhuriwa pia na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete.
Waziri Jafo

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button